Wednesday, March 14, 2012

mkenya aingia uwanjani akiwa uchi wa mnyama,,,,inatisha eti alitaka umaarufu,,lo!!

Jamaa mmoja mwenye asili ya kenya aliingia uwanjani akiwa uchi wa mnyama kwenye mechi kati ya England na Argentina kwenye michuano ya Rugby World Cup - 2011 inayofanyika nchini New Zealand
Inasemekana jamaa ni mzaliwa wa Kenya ana miaka 23 na alikua hajavaa kitu zaidi ya kuchora uso wake,na alikatiza kwenye uwanja wa Otago na kuonekana na mamilioni ya watazamaji wa television duniani,baadaye alikamatwa na wana usalama na huenda akakabiliwa na kifungo che miezi 3 jela au faini ya dola 5,000.
 
Wachambuzi wa mambo wanadai kuwa jamaa huyo aliamua kufanya hivyo ili kujizolea umaaru duniani.

6 comments:

 1. huyo ni mbongo tena kikabila atakua mgita au wale watu wa tanga!!! duh ni noma aisee

  ReplyDelete
 2. ww acha mambo ya ajabu kwann unasema huyo ni mjita na sio mhaya,acha hizo ww.ebu muangalie vizuri huyo mtu

  ReplyDelete
 3. kama mchawi vile ,,,alitumwa nini?

  ReplyDelete
 4. kweli kuna wehu duniani
  Vichaa ni wengi ila tofauti ni degree ya tatizo lenyewe?

  ReplyDelete
 5. mmmh huyu kaka nimempendaje jamani mbona kanipandisha nyege namna hii samahani mama blog naomba utuwekee picha aliyopigwa kwa mbele tuangalie kama msuli utanitosheleza miee jamani nyeegeeeeeeee nyeegeeeeeeeeee

  ReplyDelete

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...