Monday, March 19, 2012

Saturday ,,it was Sharlin birthday,,,ni mwanangu wa ubatizo huyu,,ilifanyika nyumbani kwao

Birthday girl


Keki jamani,,,,it was nice


dad wa Sharlin


mumy wa Sharlin ,,,my childhood friendpozi la ukweli


Nareen Sharlin and Nancy
aliyevaa red skirt ni dada anayemlea Sharlin

ni ndugu jamaa na marafiki
ukumbini hapa kwenye birthday
bibi wa Sharlin
\
mtoto akiimba

jikeki
mwanangu wa ubatizo huyu nae akiimba


watoto wakiimba


Nancy nae akiimba wimbo wake unaitwa shake bodyiii,,,alishekijeeee

nae aliimba huyu mtoto anaaibu sana

tukipata popcon

mnaona wenyewe

happy birthday too uuuuuuuuu

happy birthday 2 uuuu


baba ,mama na mtoto

mama akitafakaripicha ya pamoja na bibi


mama akilishwa keki
nataka mdogo wangu mama,,,,

watoto wanavyotolea macho keki


8 comments:

 1. wamependeza watoto,,,i like this

  ReplyDelete
 2. mama wa ubatizo uko juu kama muashoki,wamependeza mbaya

  ReplyDelete
 3. mlipendeza jamani! hongera shylin Gwantwa

  ReplyDelete
 4. hongereni baba na mama mtoto.MUNGU AWABARIKI

  ReplyDelete
 5. it was very nice!!!!!! God give her longer life!!! hongera mama wa ubatizo....

  ReplyDelete
 6. vamependesa vatoto hava hata sisi babu na bibi sao samani tulikuwa tunakula mbusi msima sio na thupu juu, keki ya ngano ni siku hisi. ndio mambo ya sasa mbarikiwe tu!

  ReplyDelete
 7. hongera sana mama maliza shule salama mtoto anataka mdogo wake

  ReplyDelete
 8. hongera baba na mama SHARLIN kwa birthday ya mtoto wenu.Mungu ampe miaka mingi na heri hapa duniani.Happy from Buza

  ReplyDelete

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...