Thursday, March 8, 2012

Leo ni siku ya wanawake duniani,,,,,,,,,,,,,tusijibweteke,tufanye kazi kwa bidii ...

Branch la ukweli ni asubuhi ya wanawake duniani...pawe safi ili kazi  ifanyike vizuri..eti eeh
Haya jamani tunaanza na mwanamitindo  wangu leo siku ya wanawake ...umependeza mno..


Akisubiri wateja duu kwa stail hii nipe tano mwezi huu utalala hayat
Leo ni mambo ya Africa tu Ofisini  umependeza sana


Kwa kweli  mwanamitindo wangu hii style inakutoa mno........au nakosea wadau

BA upo juuuu..
Amekondajeee........wasiliana nae atakupa Diet Ya Ukweee...


Kweli siku ya wanawake duniani msikubali kuonewa huyu ni mkombozi wetu jamani,,,,,,,,,,,anajua nini maana ya haki

Mama soldier boys .... upo juu

Kitu cha belt


Tunakupenda mnoo ,,,,,moyo huo huo...umependezajee


Mtu na dada yake.......................wanawake tuwe na umoja tutafika...............

Tufurahi leo siku yetu


Smile za nguvu jamani tusherekee

Wanawake  wa FNB -Industrial Mpo juu kama mawingu  Big up

Siku yetu jamani tujiachieee...

From Left Mama soldier boys,Dada Cate,Brenda,Me and georginaHawa ndio wanawake  walio katika ngazi ya juu sana hapa FNB Industrial Branch,,Chezeyaaaa

this is wonderful............mmenogajeeee?
     
Na mimi nilikuwepo tukisherekea siku hii...  
 MWISHO WA KUNUKUU NAWAPENDA MNO.....No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...