Saturday, June 30, 2012

Hongera Avit Temu kwa kupata jiko,,mmependeza sana Mungu awabariki
  

 


Monday, June 25, 2012

Usiku wa WEMA SEPETU ulivyofana ,ni katika uzinduzi wa filamu yake mpya inayoitwa Superstar,,,Big up Wema,tutakuungisha kununua hiyo movie,,hongera sanaMIRIAM, OMOTOLA AND MANGE
WEMA  AND OMOTOLA
WAKIANGALIA MOVIE YA WEMA SEPETU ALIYOIZINDUA
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...