Thursday, March 15, 2012

Home schooling: Why more black US families are trying it


Black children home schooling
Huko Marekani kumekuwa na tatizo la kuwatoa watoto  kutoka public schools na kuwafundishia nyumbani,idadi ya watoto wanaotolewa  imeongezeka kwani si wazungu peke yao wanaofanya hivyo hata black US nao sasa wanaachisha watoto wao kwa kasi kubwa na kuwafundishia nyumbani hii ni kwasababu kuna migogoro mingi sana and people getting shot ovyoovyo.

CHANZO : BBC News Washington.


No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...