Monday, March 26, 2012

kuna mdada mmoja offisini kajikomboa jamani mambo ya CL hayo kitu USD 800.,,,Chezeya shostiii6 comments:

 1. hahaaa dada uko juu umejikomboa kwa kununua kiatu cha $800 au shs Tshs.100,000/=

  ReplyDelete
 2. mmetisha na amejikomboa kweli duh....hongera zake

  ReplyDelete
 3. Dada mguu wako unalipa....

  ReplyDelete
 4. halafu we hapo juu inamaana huoni kuwa ni $800 ama una makengeza soma uelewe sio kuweka macomment tu humu....nyoooooooooooo

  ReplyDelete
 5. kitu cha CL hicho ,,kitu original, katoa $800 na sisi pia tupo sio kina nanihii peke yao ,,,

  ReplyDelete
 6. umeona....tokeni muonekane ...ahsante ......

  ReplyDelete

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...