Wednesday, April 11, 2012

Yaliyojiri jamii forum,,,,...
kuumizwa kwa lulu(majeraha) kulitokana na nini?
Kipigo kutoka kwa kanumba?
Kipigo kutoka kwa seth?
Kipigo kutoka kwa polisi wakati wa mahojiano?
Kipigo kutoka kwa majirani au mashabiki wa kanumba?
Majeraha ya kujipandikiza(self inflicted)?
Majeraha kabla ya kufika kwa kanumba(labda wazazi walimpiga)?
................
Hapa ndipo tutakapoona  investigators nchini kwetu.LULU


kwa nini kanumba alikuwa na daktari wake?
Je alikuwa na ugonjwa wa muda mrefu(kifafa?)
je alikuwa naye kwa sababu yeye ni superstar?
Je huyu dokta ni rafiki yake tu?ilikuaje seth akamjua?ilikuaje seth akawa na namba zake?
Je kuna ugonjwa kanumba alikuwa nao siku chache kabla ya tukio?na alikuwa akiendelea na matibabu?
Huyu dokta kamuhudumia kanumba mara ngapi?
Huyu dokta anayo medical history ya kanumba?
Impression ya dokta alipofika eneo la tukio ilikuwa ni nini?
Kwa nini dokta aliombwa kufuatwa na si kutoa maelekezo kwa seth/lulu.?

4 comments:

 1. nafikir tusiwasaidie ma CID wetu kazi. wala tusiwape leading coments tuwaache wafanya kadir ya taaluma yao

  ReplyDelete
 2. jamani inauma sana kukuta dada zetu wana fanya miili yao kama biashara naomba tujaribu kuwasaidia hata kwa sala

  ReplyDelete
 3. Many personal injury lawyers in Toronto offer free consultation and also work on a no win no fee basis.
  Increasing in vividness, and taking on a more limpid quality, St.
  It is their priority to ensure that their clients
  not only receive an official court date if needed, but they also
  make sure all clients are compensated fairly.

  My web page; personal injury defence lawyers toronto (plus.google.com)

  ReplyDelete
 4. When I initially commented I appear to have clicked on the -Notify me when new
  comments are added- checkbox and from now on every time a comment is added I recieve 4 emails with the same comment.

  Perhaps there is an easy method you are able to remove me from that service?

  Appreciate it!

  My weblog https://www.youtube.com/watch?v=nF0ifMSDdFY

  ReplyDelete

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...