Friday, March 16, 2012

Hii ndio nyumba mpya ya spika wa bunge imegharimu takribani tsh 1.5 billion/

  Mwenyewee,,,,,,anayetuwakilisha sisi wanawake kwenye uongozi,,,,
Jamani spika wetu humo ndo  anamoishi kipindi cha bunge tu ,,,
 

3 comments:

  1. hmmm hiyo nyumba haimfanani hata kidogo.....nahisi choo tu ndo kitafanana wigi lake mengineyo mhhh haimfahi kabisa..... sitta arudishwe

    ReplyDelete
  2. sasa anapolalamika kuwa Ubunge haulipi ana maanisha nini?kumbe inalipa kwani nasikia hata mbu hawaingii eneo hilo pia hawezi kuugua,uspika mzuri...................

    ReplyDelete

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...