Wednesday, March 14, 2012

Ni uchumba wa rafiki yangu kipenzi Naka,,,,,


pete hiyo mmeionaaa,,,,,,,,,,,,,,,wakiimba,,,,,,ni nomahawakaribiani kabisa hadi siku ya ndoa etieehhh,,,,,teh teh


umependezajee,,,,,,,,,,,,,,mazawadi yalikuwa ya kumwaga,,,,,,,,,,,,,

cordinator wake aliyevaa  red top nae akienda kutoa zawadi,,,,watu walikuwa wengi mno....................


nyoosha watu waone ,,,wenye wivu  wasage chupa wanywe,,,ni nukuu hiyo kutoka kwa mchungaji jamani msinichambe

wakiombewa,,,,,,,,,,,,,,,,jamani

1 comment:

  1. Mmependeza sana jamani all the best Nakazaeli ..........

    ReplyDelete

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...