Sunday, April 29, 2012

New babies in town,,,wamezaliwa tarehe 27/04/2012,,,welcome to the world babies,,ila yaliyomo humu duniani!! kueni tu muyaone,,,,,,,,

Ni mtoto wa Shemeji yangu so huyu mtoto ananiita mama Mkubwa


huyu ni tofauti na huyo hapo juu,,ni mwingine huyu alikuwa wa jirani,,walijifungua pamojsa


huyu ndo mke wa shemeji yangu,,,,,amepasuliwa hapa,,jamani operation za siku hizi fasta tu mtu mzimaaa?


smiling for her baby,,,first born ana raha yake jamani,,kampata baby boy


mama na mwana,,happy family,,watoto ni faraja sana jamani


hospital kabla hajatoka hapa ni day two baada ya kupasuliwa


1 comment:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...