Wednesday, March 21, 2012

dada azimia ghafla baada ya kugundua ametapeliwa sh.75,000/= pamoja na simu yake ya mkononi,,,bei ya simu imeshindwa kugundulika kwa haraka

da anatia huruma nadhani alipata mshtuko hiviii

shuhuda wakimbebani quality centre hapa

wakitaka kujua kinagaubaga,,,kulikoniiiimnamuona jamani mara tu baada ya kudondoka na kuzimia

watu wakimshangaa binti aliyezimiwa baada ya kutapeliatu


wakitafuta sehemu ya kumpumnzisha ili azinduke

wasamaria  wema wakimbeba

mmeona dini hilo jamaniiiii teh teh...

dada alidanganywa haya ni madini ya tanzanite kumbe mawe duu ,,,noma
Mkemia mwenyewe akijaribu kudadisi madini au mawe haya,,,,,

mdada baada ya kuzinduka akiondoka sijui anakwenda wapi hapa,,,duuu kali

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...