Wednesday, March 14, 2012

Jamani nilikuwa nimechoka mbaya mdogo wangu akawa ananifotoa hii kali,,,,,,,,,,,,,,,,,,ilikuwa jumapili jana yake ndo ilikuwa uchumba wa Lynett nilifika home usiku,,asubuhi yake uchumba kwa naka ilifanyika church, then after mbezi beach the same day kupeleka watoto birthday jioni yake siku hiyohiyo kikao cha kwanza cha my friend Naka kurudi home kama kawaida no umeme,,,duu nilichokaje??? ndo nikapigwa hizi picha,,,
No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...