Monday, April 23, 2012

Jana niliwapeleka watoto pale Ubungo Plaza kubembea,,ghafla mama mmoja akaomba watoto wamwimbie mwenzao ambaye birthday yake ilikuwa jana,,,Nancy alifurahije anavyopenda keki,,,,,it was nice na hizi ndo pics chache nilizofanikiwa kupiga.HAPPY BIRTHDAY MOREEN,,,,LOLBirthday girl Moreen  akilia,,ni 2 yrs kafikisha
 

Jmani huyu dada kasukwa vizuri mno,,bahati mbaya niasahau kuchukua namba ya msusi,,


huyu ni mama wa birthday girl

watoto wakisubiri keki kwa hamu kubwa
TULIWAKILISHA

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...