| Keki tamu sana hizi jamani,,,,,,,, |
| Supermarket hii ipo Sinza Makaburini ,,,,,barabara ya lami kama unakwenda Mlimani City |
| Jamani anafuraha sana hapa baada ya kugundua mauzo yalikuwa bomba |
| Kibiashara kinapanuka eti eeh I hope next year time like this ,it will be very far,,,litajaaaje?? Mungu aliongoze |
No comments:
Post a Comment