Tuesday, April 3, 2012

jamani wanawake wenzangu niwaulize hivi hizi rangi hazina madhara yoyote jamani maana siku hizi sehemu nyingi kwenye michezo ya watoto lzma ukute mtu anapaka ,,,na watoto wanavyolilia,,du ,,,inatisha

1 comment:

  1. binafsi nijuavyo rangi zote zina madhara ila dose matters. kama kapaka kwa siku moja siyo mabaya ila kama itakuwa ni kwa muda mrefu basi expect cancer

    ReplyDelete

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...