Tuesday, April 17, 2012

style ya kufunga kuvaa mtandio wa dira kwa wale wenzetu waislaam,,,watu wamezoea kufunga kiunoni,,mnaweza pia mkajitupia namna hii,,,


4 comments:

  1. Mashaallah, mwanamke ni stara na uislam upo kwa ajili ya kumsitiri, kumtunza na kumheshimu mwanamke pamoja na kumpa haki zake katika mali na mambo mengine. Sio km wale ambao wanavaa nusu uchisijui wanaonesha nn ambacho wengine hawana. NZURI SANA DADA WA KIISLAM.

    ReplyDelete

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...