Wednesday, April 25, 2012

Maskini huyu mtoto anatia huruma sanaaaa,,analia jamani waandishi wa habari wanavyomgombania,,,tumuombee jamani,,binadamu wote hukosea tena zaidi ya huyu sema tu wengine hamjulikani ndo maana,,so don't judge her as a killer,,she isn't,ninaamini kwa hili alilopitia atajifunza mengi mno????
No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...