Wednesday, April 4, 2012

Hivi jamani ,,mtu anabadilisha jinsia ili tu awe kama mwanamke aweze kufanya tendo la ndoa as a woman,,,duuu,,,inatisha,,mhhh,,and who want to be a boy????????hapo chacha...

http://api.ning.com:80/files/c5HDjp4Cgj10dktMuY7tSc*Fu9HsSXOnhPpJ9V1687eTcdDB5NE22gc-TjD1GPWjAFJ-rtBBtFiiYd0xId8CexmWr-J8WDLb/NGONO.jpg?width=650http://images.mirror.co.uk/upl/m4/jan2012/0/7/image-2-for-your-life-coleen-telly-27-01-12-gallery-512039321.jpg?width=650


MWANAMKE mwenye asili ya Mji wa Bridgwater, Somerset, England, ameweka wazi siri yake ya kufanya mapenzi na wanaume 1,000.
Hata hivyo, wakati anaeleza siri yake ya utumwa wa ngono mpaka kufikisha idadi ya wanaume 1,000, alizungumza kauli iliyoshangaza wengi:  “Watu hawajui siri hii, mimi nilikuwa mwanaume, asili yangu ni mwanaume.”
Mwanamke huyo, Crystal Warren, aliyezaliwa akiwa mwanaume kwa jina la Christopher Snowden, alifafanua kuwa alibadili jinsia mwaka 2005.
Crystal, 42, alieleza wakati akihojiwa kwenye televisheni moja nchini Uingereza kuwa siri kwamba yeye asili yake ni mwanaume, aliwaeleza watu wachache lakini hawakumuelewa na hawakumhoji zaidi.
Mwanamke huyo ambaye anakiri kuwa yeye ni mtumwa wa ngono, alisema kuwa watu wengi kati ya hao 1,000 aliofanya nao mapenzi, watachukia baada ya kuona mahojiano hayo ya televisheni na kugundua kuwa kumbe walifanya mapenzi na mwanamke mwenye asili ya jinsi ya kiume.
Crystal alisema: “Naogopa kwamba wanaume wengi watakuwa na hasira baada ya kuona mahojiano haya lakini inabidi nizungumze ukweli.
“Watu wengi watafikiri mimi niliwadanganya wanaume ambao nilitoka nao kimapenzi. Sidhani kama ni hivyo kwa sababu najihesabu ni mwanamke, hayo mambo ya nyuma ni ya nyuma na hayana nafasi.
“Vizuri kutambua ni kuwa hivi sasa nipo kama wanawake wengine. Niliishi miaka mingi bila kuwa na umbo langu sahihi. Ukweli ni kwamba mimi ni mwanamke niliyekuwa na umbo la kiume.
“Nilijigundua mimi ni mwanamke tangu nikiwa mdogo. Kwa siri nikaanza kuvaa nguo za mama. Nikiwa na miaka 14, mama aliniambia kwamba mimi siyo shoga ila nimepewa umbo ambalo siyo sahihi.
“Nilianza kufanya mapenzi nikiwa na umri kati ya miaka 17 na 18, sikufurahia tendo kwa sababu nilikuwa na umbo la kiume. Nilipofanyiwa upasuaji mwaka 2005 na kuwekewa maumbile ya kike pamoja na kukuza maziwa, ni hapo ndipo nilipogeuka mgonjwa wa ngono kwa wanaume.
“Nilianza kufanya mapenzi na wanaume kwa fujo, kwa siku niliweza kushiriki tendo na wanaume saba na hata sasa siwezi kupitisha saa 24 bila kufanya mapenzi.
“Miezi mitatu baada ya kufanyiwa upasuaji, nilikwenda kwenye pati ambako nilishiriki tendo na wanaume 10 kwa siku moja.”

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...