Thursday, September 20, 2012

Usiku wa Linet Tehingisa!!! Hongera my dear,,,nawaonjesha pics chache

Mapambo yalikuwa nomaaaa,,,nahisi Bella Naija walihamia hapa

alipendezajeee
siyeeeee tukila bata

B.A  Huyooo,,ni noma kama alichovaa kanunua Kardashian's Collection States.Umetishaaa 

Filex upooooo


Waliwakilisha vizuri,,,kata mti panda mti


Watoto wa Town hao full kujiachiaaa,,,

Menu timeee,,,,tulikulajeeZawadi yetu hiyooo wana Industrial
Ubuntu forever3 comments:

 1. waooh lynnette ulipendeza aiseh,nimependa ulikuwa simple mpaka raha sio kila m2 anavaa minguo mizitooooo au mara inamikia,wat for sasa? yaani kwakweli nimependa ulivyotokolezea kitofauti kabisa.na wenye wivu mjinyonge...nyooooooo!!! wivu sio mzuri

  ReplyDelete
 2. Ulipendeza sana mrembo wa Rorgers

  ReplyDelete
  Replies
  1. thanx 1st anonymous....still single and allowed to mingle--2nd anonymous

   Delete

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...