Wednesday, September 5, 2012

Wakati wa kufurahi umefika tulichezajeee,,,mziki ulikuwa wa balaaaaa,,,,jamani hapo ndio mwisho wa simulizi ya harusi ya Bwana na Bibi Mapunda kwa kutumia picha,,nadhani umefurahia sana kupata simulizi hii kwa picha..Kwa kweli ilikuwa nzuri sana ukitaka na wewe harusi yako ipendeze wasiliana na women-communication wakishirikiana na Adonai events planners, wataorganize kila kitu.Karibuni.
2 comments:

  1. its a wedding and i might not know who the mapunda's are, but sijapenda hiyo picha ya huyo mtu kasiha bia.
    uliyepost hujagundua kuwa picha zote ulizoweka hakuna aliyefanya ya hivyo except hiyo tu. bora uifute.

    ReplyDelete
  2. wewe msemaji wa hapo juu kwani hiyo picha inakukera nini??? unachotakiwa ni kuangalia na kuacha kama unavyoyaona,,,aliyepost anapost kitu ambacho anadhani kipo sahihi,,why you point that pic???????there is something behind this teh teh

    ReplyDelete

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...