Friday, September 21, 2012

EDA SYLVESTER ATWAA TAJI LA REDD'S MISS TEMEKE 2012 JANA USIKU


Redd's Miss Temeke 2012, Eda Sylvester akiwa katika pozi baada ya kutwaa taji lake Jana usikuEda Sylvester (katikati) akiwa na mshindi wa pili Flaviana Maeda (kushoto) na mshindi wa tatu Catherine Masumbigana (kulia).
Warembo watano waliofanikiwa kutinga 'Tano Bora' wakiwa katika pozi baada ya kutangazwa.
WAREMBO hawa watano ndio waliofanikiwa kutinga Tano Bora baada ya mchujo uliowaondoa wenzao 10 waliokuwa wakiwania taji la Redd's Miss Temeke 2012 usiku huu ndani ya Ukumbi wa PTA Sabasaba, Temeke jijini Dar.…

1 comment:

  1. My spouse and I absolutely love your blog and find the majority of your post's to be precisely what I'm
    looking for. can you offer guest writers to write content to suit
    your needs? I wouldn't mind creating a post or elaborating on a number of the subjects you write related to here. Again, awesome web log!

    Also visit my web page ford ranger

    ReplyDelete

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...