Monday, August 20, 2012

Hongera sana Selina na Steven kwa kutimiza ndoto yenu,,Mungu awajalie amani na upendo katika maisha haya mapya mliyoanza,,,Amen  
Wakijadili jambo


ilikuaje tamuuu
ulitishaaaa Jessy,,,pendeza mnoooo.,,,...funika

happy peopleeee


so cuuuteeeee
paparaziiii haooo

its a nice pic,,,,,

mnaangalia nini jamani?sisi na zawadi zetuuu


from Orcadeco
chezeya ubuntuuuu


happy peopleeeekuna mtu hapa naona kila picha yupo,,,lol

my brooo

umetishaaaa


Nikiripoti kutoka ukumbi wa Helenic mimi ni Hatima Shayo wa Women-Communication blogspot.

4 comments:

 1. mmh itabidi tukununulie camera looh picha ziko dally sana mmmh tutaitisha harambee, so far umejitahidi ila umetubania picha za maharushi hujarusha

  ReplyDelete
 2. mwanzo mgumu ila mbeleni tapata camera nzuri kama una hela si ungemnunulia siku nyingi acha kimbelembele lol

  ReplyDelete
 3. Dah!! ningeshukuru mdau (mtu) ungeninunulia Camera kiukweli Camera yangu bado ni ya hadhi ya chini any way,nina mpango wa kununua the quality one.Picha za maharusi zinakuja sooonn usijali

  ReplyDelete
 4. FNB mpo juu,,naona ubuntu kwa sanaaaaaa

  ReplyDelete

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...