Tuesday, August 14, 2012

Mama na mwana,,ni new page ambayo tutakuwa tunazungumzia akina mama na watoto,,Kwanza kabisa tunaanza na Angie,,ni juzi tu katoka kujifungua mtoto wake mpendwa Alvin,watoto wanakua haraka sana jamani,,ana miezi mitatu sasa.Women-Communication inamtakia mtoto Alvin maisha mazuri na yenye baraka tele.


Angie and her son Alvin

Baby Alvin 

so nice,,,amekuwa mkaka sasa

Alvin  smile!!

kazurijeee!!!

4 comments:

 1. wow!! Angie so nice jamani...hongera san my dia for handsome bby boy Alvin yu rock men...Mungu awabariki sana...

  ReplyDelete
 2. thank you wadau! sasa najipanga kutafta sister wake.

  ReplyDelete
  Replies
  1. mh dada yake sasa hv,slow down utambemenda mtoto.

   Delete
 3. Mtoto mzuri jamanii!!!hongera sana dada

  ReplyDelete

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...