Monday, May 21, 2012

Chereko..chereko..jamani jana nilihudhuria K/Party ya mfanyakazi mwenzetu Happy,,,pateni uhondo kidogo jinsi ilivyofana...lol


Bibi harusi mtarajiwa...alipendeza sana jamanibibi harusi na matron nice pic


kicheko hichoooowamependeza sanaunywele jamani
Add caption
 

3 comments:

  1. katika hizo picha kuna dada mmoja nguo yake kata mikono na belt jekundu amependeza,,naomba kujua kashonea wapi,,na namba za simu ili na mimi nijilipue

    ReplyDelete
  2. veroooooooooo na mwajuma looking lovely

    ReplyDelete
  3. ameshonea kwa dizaina anaitwa fundi kitenge anapatikana sinza makaburini....ukifika pale kituoni ulizia kwa fundi kitenge au upande wa makaburini kama unashuka parestina utaona kuna kontena kubwa ndo hapo hapo ukifika uliza hapa ndo kwafundi kitenge

    ReplyDelete

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...