Friday, May 11, 2012

mother's day...Nampenda sana mama yangu mzazi.Mrs Turuka bila kumsahau mama yangu mlezi Mrs Dora  Shayo
 Jamani wadau nawatakia siku njema ya mother's day,,itakayokuwa tarehe 13 mwezi huu..kama una ujumbe wowote kwa ajili ya mama yako tuma    hatima.shayo@yahoo.com nitaurusha ujumbe wako.kwa wale wenye picha pia nitazirusha.


KARIBUNI WOTE

2 comments:

  1. mama i don't know what can i say to my mama bt what i want to say is mama nakupenda sana for what u have done to me,thank you and i repeat it again I L O V E Y O U MU CH MA... MRS HAWA

    ReplyDelete
  2. in this day wanawake wakumbuke walikotoka wasonge mbele kwani wamepiga hatua mbele ya maendeleo,wanawake wanaweza kama wakiwezeshwa sio wakati wa kushika tama na kujikunyata,happy mother day

    ReplyDelete

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...