Wednesday, May 23, 2012

Mzigo mpya umeingia kutoka marekani.....kuna viatu..vipodozi vya kila aina,,stockins,,,vitupio vya kila aina kama hereni,,cheni,,mabangili,,pete,,pia kuna nywele/rasta nzuri kama mnavyoziona hapa chini..karibuni saaannaaaaaaaa..wasiliana nasi kupitia namba hii: 0655 021 969

viatu....viatu...viatustockings  jamani tuvae na vimini vyetuuuu


jamani hizi ni 24hrs hazitoki..lip gloss na  lipsticwale wanaopenda kuadd  kidogo naniihii ,,hii nichupi ya kuongezea..lol

jamani hivi vipodozi ni original,,harufu zake ni nzuri mnooo


vitupio vya kumwagaa...mahereni..cheni na shangaamapete....hayaumizi kwenye vidole yana mpirahii ni nzuri mnooo jamani kwa yale matumbo kama langu
original jamanii

harufu yake ni nzurii mno piga simu  uwekewe zimebaki chache
 2 comments:

  1. Jamani wahini mana watu wengi pale nilienda jana kwakweli vitu vizuri sana expensive but quality very quality nimevipenda sana vinahusika yule dada yupo juuuuuuuuuuuu ...she knows what a glamour gal needs.....

    ReplyDelete
  2. pia huyu dada anakodisha nguo za wedding nzuri sana toka america, mpigieni tu 0655 021 969....

    ReplyDelete

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...