Thursday, May 31, 2012

Serikali yatoa Milioni kumi kwa mama Kanumba,,,,,,,,,,Mama Kanumba kaipokea hela hiyo kwa Uchungu sana,,,huyu mama anatia huruma sana jamani...tumwombee angalau apate faraja ya moyo wake,,,Mungu amtie nguvu..AMEN


No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...