Monday, June 18, 2012

Kim kampa Kanye west gari siku ya birthday yake na Beyonce kamnunulia J-Z ndege jamani mpo hapoooooooooo...na wewe andaa chochote kwa ajili ya mpenzi wako au ndugu yako kwenye siku yake maalum hata kama ni kidogo inapendeza jamni!!!!!

hapa ni jikoni ndani ya ndege
sehemu ya mapumziko  ndani ndege

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...