Tuesday, June 26, 2012

Leo imefika miaka mitano tangu Marehemu Amina Chifupa amatutoka,,tulipoteza mtu muhimu sana kwani alikuwa ni mwanamke wa kwanza mwenye ujasiri wa kupinga madawa ya kulevya bila kogopa chochote,na alikuwa tayari kwa lolote lile,,kwa kweli alikuwa jasiri sana 'Nilimpenda Sana'.Mungu ilaze roho yako mahali pema peponi!!!AMINA


Amina Chifupa Enzi ya uhai wake.
 
Marehemu Amina na Mumewe enzi ya uhai wao


No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...