| Alituliaje sasa... |
| happy birthday to you..... |
| Jikeki la Collin lilikuaje tamu loh!!! |
| handsome wetu huyo |
| hapa anaambiwa azime mshumaa anacheka tu haelewi... |
| mama wa Collin akimsaidia Collin kukata keki...hongera dear umekuza... |
| nani wa kwanza kulisha keki vidole juu... |
| Mamii loves you baby Collin... |
| Nancy na Irene wakilishana keki ni mabesti hawa... |
No comments:
Post a Comment