Monday, August 13, 2012
Ni jumatatu nyingine wapendwa,,,natangaza ofa maalum kwa wale watakao penda kurushwa humu kipindi hiki mpaka sikukuu ya EID Itakavyoisha,,so kama una birthday ya mtoto or any events unataka irushwe humu you can contact me through my email,,hatima.shayo@yahoo.com .Karibuni sana ndani ya Women-Communication,,,share anything with us,,katika sayari ya sasa mwanamke ni ngao ya familia.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
thanks madam,,,will contact you soon
ReplyDeletebe blessed