Mama na mwana,,ni new page ambayo tutakuwa tunazungumzia akina mama na watoto,,Kwanza kabisa tunaanza na Angie,,ni juzi tu katoka kujifungua mtoto wake mpendwa Alvin,watoto wanakua haraka sana jamani,,ana miezi mitatu sasa.Women-Communication inamtakia mtoto Alvin maisha mazuri na yenye baraka tele.
wow!! Angie so nice jamani...hongera san my dia for handsome bby boy Alvin yu rock men...Mungu awabariki sana...
ReplyDeletethank you wadau! sasa najipanga kutafta sister wake.
ReplyDeletemh dada yake sasa hv,slow down utambemenda mtoto.
DeleteMtoto mzuri jamanii!!!hongera sana dada
ReplyDeletel4d23c3h79 y8x62d4l74 q9o91j0s16 u4r32c0k35 x1r81r1i78 y9k73q4q66
ReplyDelete