Friday, August 3, 2012

Kwa wanawake wanaopenda suti,,this one is nice jamani,,nunua tu kitambaa pale kariakoo rangi unayopenda the mix na white,,peleka kwa fundi atakushonea kama ilivyo tena kwa bei poa tuu,,kama huna fundi mzuri tuwasiliane nikupe fundi atakayekutoa fresh!!!!wanawake tupendeze,,,kwa elfu hamsini tu nguo hii unaivaaa,,,,lol


Where's her waist: Terri Seymour showed off her tiny midsection in a form-fitting shift dress in LA yesterday


1 comment:

  1. Every weekend i used to go to see this website, because i want enjoyment, since this this site conations
    genuinely fastidious funny material too.

    Look at my web site :: wiki.vvvay.net

    ReplyDelete

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...