TODAY'S ARTICLE


15/6/2011
'Tumpende Mungu jamani,,tuache dhambi,,,,,tujiandae hakuna mtu anajua siku wala saa'..NAKUMBUSHIA TU JAMANI NAJUA KILA SIKU VINAHUBIRIWA HIVI VITU LAKINI WATU HAWASIKII.MUNGU ATUSAMEHE

13/06/2012

Love, true love, is that which can give the most
without asking or demanding anything in return.

For our heart shall rejoice in him, because we have trusted in his holy name.
(Psalm 33:21)

It is wrong to think that love comes from long companionship
and persevering courtship. Love is the offspring of spiritual
affinity and unless that affinity is created in a moment, it
will not be created for years or even generations.
~ Khalil Gibran ~
~ Mazie Hammond ~

4 comments:

  1. du asante sana madam maana hii engle nilikuwa nilikuwa naisubiri sana


    Mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 42,,nitahitaji mume ,,ambaye amenipita umri na awe mcha Mungu,suchagui rangi wala sura wala umbo ,,kabila lolote ila asiwe muhaya.

    Please email yangu kapuni

    ReplyDelete
  2. mimi ni mdada mwenye umri wa miaka 31.ni msukuma na ninatafuta mchumba wa kunioa.awe mzaliwa wa kanda ya ziwa.awe mtanashati kama mimi nilivyo kisura.asiwe mweupe sana wala mweusi sana, awe anaishi dar(mikocheni,oysterbay,msasani-uzunguni,kunduchi-uzunguni,mbezi beach,masaki-uzunguni.awe tayari kunipa penzi maana mi ninalo la hatari.awe anafanya kazi benki ila isiwe (benki ya posta/akiba komesho/ dcb au dtb),mashirika ya kimataifa.awe na account ya twitter na fb, awe na gari aina ya range rover evoque ya mwaka 2011,BMW 3series au 2012 audi Q7.Awe anacheza golf part time..ni hayo tu shayo msaada plizzzz

    ReplyDelete
  3. mimi ni mdada mwenye umri wa miaka 28 ,nina hitaji mwenza,asiwe mchaga,,awe na rangi ya chungwa na awe na kazi nzuri.asante

    ReplyDelete
  4. NAHITAJI JIMAMA,UWEZO NINAO WA KILA KITU,AGED 33.0754353724

    ReplyDelete

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...