Monday, July 30, 2012
Wednesday, July 18, 2012
Hello my people najua mmenimic mno,,,ni siku nyingi sijawawekea vitu humu,,nieanza rasmi kwani nilipumzika kidogo ...jana milikwenda head-office wamenishangaaa kidogo eti nimepungua,,wadau nimepungua kweliii??? if yes ni haya mazoezi ndiyo yanayonisaidia si kupungua tu bali kuweka mwili fit,,nafanyia pale Ubungo Plaza if u want you can join me.Women jamani tufanye mazoezi kwa ajili ya afya zetu.Enjoy the pics
Nilihudhuria sendoff ya mmoja wa familia this week end....ilifanyika Kiramuu Hall.
Thursday, July 12, 2012
Subscribe to:
Posts (Atom)