Alituliaje sasa... |
happy birthday to you..... |
Jikeki la Collin lilikuaje tamu loh!!! |
handsome wetu huyo |
hapa anaambiwa azime mshumaa anacheka tu haelewi... |
mama wa Collin akimsaidia Collin kukata keki...hongera dear umekuza... |
nani wa kwanza kulisha keki vidole juu... |
Mamii loves you baby Collin... |
Nancy na Irene wakilishana keki ni mabesti hawa... |
No comments:
Post a Comment