Sunday, September 30, 2012
Thursday, September 27, 2012
Wednesday, September 26, 2012
Cheka kidogo mdauu
Mdada mmoja mke wa mtu alikuwa akisumbuliwa sana na jamaa mmoja aliyekuwa akimtaka kila siku, hatimae akamwambia mumewe. Mume akamwambia mkewe, we kubali tuu, ila mwambie aje mlale hapa kwetu, mi ntajificha uvunguni na panga. Akisha ingia ukiona kamaliza kuvua nguo we ning’iniza mkono anza kuuchezesha, mi nikiuona ntatoka uvunguni na kumfunza adabu.
Mdada akafuata masharti ya mumewe na hatimae wakaingia chumbani na yule bwana , mumewe akiwa tayari na panga uvunguni mwa kitanda. Jamaa alipovua shati, mke alishangaa kuona ana makovu makubwa kifuani na mgongoni;
MKE: Heee mbona una makovu hivyo??
JAMAA: Niwe mkweli tuu, kwako dia!! mie nina tatizo sana la kupenda wake za watu, waume wengi wamekuwa wakipanga kunifumania, nilishafumaniwa mara kumi na tisa, na wote walionifumania niliwaua. Ila jaribio la mwisho nilidakwa na mapolisi nikatumikia kifungo cha miaka 27 jela, Lakini ninavyopenda wake za watu sitaacha kuua. Hivi sina muda tangu nitoke huko jela hivyo nina ukame wa punda na nilipokuona moyo wangu ukakudondokea. Na nitatulia na wewe.
MKE: Heee! Haiwezekani jamani!!….jamaa akaendelea kuvua nguo alipomaliza mdada akaanza kujitahidi kuning’iniza mkono ili mumewe atoke uvunguni aje kumuokoa, mume akabana kimya, kila mdada akijitihadi kupunga mkono hakupata jibu, mdada akalalamika kwa maumivu makali mpaka jamaa akamaliza shughuli zake akatokomea.
MKE: Huku akilia, ndio nini umenifanyia? Mbona hukutoka??
MUME: We we we, Weeeee mama naniii!!.. mwenyewe umesikia keshaua 19 ulitaka niwe wa ishirini?
MKE: Heee mbona una makovu hivyo??
JAMAA: Niwe mkweli tuu, kwako dia!! mie nina tatizo sana la kupenda wake za watu, waume wengi wamekuwa wakipanga kunifumania, nilishafumaniwa mara kumi na tisa, na wote walionifumania niliwaua. Ila jaribio la mwisho nilidakwa na mapolisi nikatumikia kifungo cha miaka 27 jela, Lakini ninavyopenda wake za watu sitaacha kuua. Hivi sina muda tangu nitoke huko jela hivyo nina ukame wa punda na nilipokuona moyo wangu ukakudondokea. Na nitatulia na wewe.
MKE: Heee! Haiwezekani jamani!!….jamaa akaendelea kuvua nguo alipomaliza mdada akaanza kujitahidi kuning’iniza mkono ili mumewe atoke uvunguni aje kumuokoa, mume akabana kimya, kila mdada akijitihadi kupunga mkono hakupata jibu, mdada akalalamika kwa maumivu makali mpaka jamaa akamaliza shughuli zake akatokomea.
MKE: Huku akilia, ndio nini umenifanyia? Mbona hukutoka??
MUME: We we we, Weeeee mama naniii!!.. mwenyewe umesikia keshaua 19 ulitaka niwe wa ishirini?
Katika mavazi ya ufukweni leo nawaletea kati ya Kim Kadarshian na Beyonce ni nani zaidi????jamani wale wenye matumbo duh!!!! sijui inakuaje hapa kina mama!!!siku mojamoja kujiachia teh teh teh lol! Naka upo hapooo
Tuesday, September 25, 2012
Monday, September 24, 2012
Hotel kubwa na maarufu Duniani ipo Tanzania,,,,,,can you belive??? Dunduliza mwanamke angalau mkajipumzishe siku moja,,,kwa wale ambao bado hawajaolewa kwa honeymoon ni baraabaraaa!!!!.Kulala per day 2,000,000/= na kuna sehemu nyingine private zaidi kulala hapo ni Mil 23,000,000/=loh!!!
Singita ndiyo hoteli nambari moja duniani, ikichukua tuzo hiyo kwa mwaka wa pili mfululizo. Tuzo hizo hutolewa kila mwaka na taasisi maarufu ya Marekani, US Travel + Leisure ambayo ‘hudili’ na viwango vya biashara ya utalii duniani.
Hoteli hiyo, inathibitisha kwamba thamani ya Tanzania ipo juu mno, ndiyo maana mwekezaji kutoka Afrika Kusini, Luke Bailes, aliamua kufanya uwekezaji wa hali ya juu ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Serengeti.
Matokeo hayo, yaliandikwa Agosti mwaka huu kwenye jarida maarufu kwa kuchapisha matukio ya biashara za utalii, linaloitwa T+L Magazine. Jarida hilo linamilikiwa na Taasisi ya US Travel + Leisure.
Tangu kufunguliwa kwake, Singita Grumeti imekuwa kivutio cha viongozi, matajiri na watu maarufu ambao mara kwa mara hutinga kujivinjari, vilevile kujionea vivutio vya utalii vilivyopo nchini.
Kwa mujibu wa US Travel + Leisure, sababu ya kuipa Singita hadhi ya kuwa hoteli namba moja duniani, inatokana na muundo wake, huduma zinazotolewa, kuwa ndani ya mbuga kubwa kabisa ya wanyama duniani (Serengeti), vilevile wageni mashuhuri inaopokea.
Inaelezwa kwamba Singita Grumeti ndiyo hoteli inayoongoza kwa sasa duniani kwa kupokea wageni wenye hadhi ya daraja la kwanza, wakiwemo marais, matajiri, wanamichezo, wasanii, viongozi mbalimbali maarufu ulimwenguni na kadhalika.
HAWA WANATAJWA KUJIVINJARI SINGITA
Marais wa 42 na 43 nchini Marekani, Bill Clinton na George W. Bush, kwa nyakati tofauti wamefikia kwenye hoteli hiyo baada ya kuvutiwa na sifa zake zinazotikisa duniani.
Bilionea wa Kirusi anayemiliki Klabu ya Chelsea ya Uingereza, Roman Abramovich, alipotembelea nchini Septemba 2009, inaelezwa kwamba alilala kwenye hoteli hiyo.
Bilionea wa Kihindi, Mukesh Ambani ambaye kwa sasa ni tajiri namba 19 duniani, alifika nchini mwaka jana na kufikia kwenye hoteli hiyo.
Wakati alipowasili nchini, Mekesh alikuwa tajiri namba nne duniani. Ripoti ya mwaka 2011, ilimtaja kuwa tajiri namba tisa na sasa anashika nafasi ya 19.
Mke wa zamani wa mwanasoka anayechezea Chelsea ya England, Ashley Cole, Cheryl, alipofika nchini miaka miwili iliyopita, inaelezwa pia kwamba alifikia kwenye hoteli hiyo.
Mwanamitindo aliye pia mcheza sinema maarufu wa Hollywood, Marekani, Angelina Jolie na mumewe Brad Pitt, waliripotiwa kufika nchini na moja kwa moja makazi yao yakawa Singita Grumeti.
Wengine ambao wanatajwa kuwahi kupumzika kwenye hoteli hiyo ni mwanamuziki wa Marekani, Sean Carter ‘Jay Z’, mwanasoka Thierry Henry, Rais Jakaya Kikwete na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda.
Hata hivyo, inaelezwa kuwa orodha ya wageni wanaofikia Singita ni kubwa mno, tatizo hufanywa siri kwa sababu watu wengi mashuhuri ulimwenguni huwa hawapendi ijulikane kama wamefikia kwenye hoteli hiyo kwa sababu za kiusalama.
SIFA ZA HOTELI HIYO
Ni hoteli yenye eneo kubwa, kutoka ‘loji’ moja hadi nyingine, inabidi utumie usafiri maalum.
Imegawanywa kwenye ‘loji’ mbili, moja inaitwa Ebony na nyingine ni Boulder.
Hoteli hiyo, pia inaundwa na ‘loji’ nyingine inayoitwa Castleton Camp ambayo inaweza kuhamishwa kutoka sehemu moja hadi nyingine.
Bei ya chini kabisa kwa mtu kulala kwenye hoteli hiyo ni shilingi 2,000,000 na bei hiyo hutegemea na msimu.
Bei zimetofautiana kati ya ‘loji’ moja hadi nyingine na mtu kulala kwenye Castleton Camp, inaweza kugharimu mpaka shilingi milioni 23 kwa siku moja.
Singita Grumeti ni moja kati ya hoteli za Singita za nchini Afrika Kusini.
Friday, September 21, 2012
EDA SYLVESTER ATWAA TAJI LA REDD'S MISS TEMEKE 2012 JANA USIKU
Warembo watano waliofanikiwa kutinga 'Tano Bora' wakiwa katika pozi baada ya kutangazwa.
Redd's Miss Temeke 2012, Eda Sylvester akiwa katika pozi baada ya kutwaa taji lake Jana usiku |
Eda Sylvester (katikati) akiwa na mshindi wa pili Flaviana Maeda (kushoto) na mshindi wa tatu Catherine Masumbigana (kulia). |
WAREMBO hawa watano ndio waliofanikiwa kutinga Tano Bora baada ya mchujo uliowaondoa wenzao 10 waliokuwa wakiwania taji la Redd's Miss Temeke 2012 usiku huu ndani ya Ukumbi wa PTA Sabasaba, Temeke jijini Dar.…
Dah!!! wanawake tuwe makini na maamuzi yetu,,,,kabla ya kuamua jambo embu fikiri kidogo na uamue kwa ufasaha,,,Soma hii utajifunza kitu!!!!!!
The Best Divorce Letter... EVER..!!!
My Dear husband:
I'm writing this letter to tell you that I'm leaving you..
I've been a good wife to you for the last 20 years & I have nothing to show for it, and the last 2 weeks have been hell.
Your boss called to tell me that you left your job today which was the last straw.
Last week, you came home & you didn't even notice I had a new hairstyle, had cooked your favourite meal & even wore a brand new nightie. You ate in 2 minutes, & went straight to sleep after watching your TV soaps. You don't tell me you love me anymore; you don't want anything that connects us as husband & wife. Either you're cheating on me or you don't love me anymore; whatever the case, I'm gone.
Your EX-Wife.
PS. Don't try to find me. Your BROTHER & I are moving to Invercargill together..!!!! Have a great life..!!!
PS. Don't try to find me. Your BROTHER & I are moving to Invercargill together..!!!! Have a great life..!!!
Dear Ex-wife
Nothing has made-my-day more.... than receiving your letter.
It's true you & I have been married for 20 years, although a good woman is a far cry from what you've been. I watch TV soaps so much because they drown out your constant whining & bitching, too bad that doesn't work. I DID notice when you got a hair do last week, but the 1st thing that came to mind was 'You look just like a boy!'
Since my father raised me not to say anything, if you can't say something nice... I didn't comment..!!!
And when you cooked my favourite meal, you must have got me confused with MY BROTHER because I haven't eaten pork for 7 years.
About the new nightie... I turned away from you because the $49.99 price tag was still on it... & I prayed it was just a coincidence that my brother had just borrowed $50 from me that morning..!!!
After all of this, I still loved you & felt we could work it out. So when I won the 60 million Euro Lotto, on Saturday, I left my job & bought 2 tickets for us to Jamaica... but when I got home you were gone. Everything happens for a reason, I guess.
I hope you have the fulfilling life you always wanted.
My lawyer said that the letter you wrote... ensures you won't get a penny from me..!!
So take care.
So take care.
Signed,
Your Ex-Husband... Rich As Hell... & Free.!!
P.S. I don't know if I ever told you this... but my brother Carl was born "Carla"..!!!! I hope that's not a problem.!
__._,_.___
Thursday, September 20, 2012
Usiku wa Linet Tehingisa!!! Hongera my dear,,,nawaonjesha pics chache
Mapambo yalikuwa nomaaaa,,,nahisi Bella Naija walihamia hapa |
alipendezajeee |
siyeeeee tukila bata |
B.A Huyooo,,ni noma kama alichovaa kanunua Kardashian's Collection States.Umetishaaa |
Filex upooooo |
Waliwakilisha vizuri,,,kata mti panda mti |
Watoto wa Town hao full kujiachiaaa,,, |
Menu timeee,,,,tulikulajee |
Zawadi yetu hiyooo wana Industrial |
Ubuntu forever |
Subscribe to:
Posts (Atom)