Monday, April 30, 2012
Sunday, April 29, 2012
New babies in town,,,wamezaliwa tarehe 27/04/2012,,,welcome to the world babies,,ila yaliyomo humu duniani!! kueni tu muyaone,,,,,,,,
Ni mtoto wa Shemeji yangu so huyu mtoto ananiita mama Mkubwa |
huyu ni tofauti na huyo hapo juu,,ni mwingine huyu alikuwa wa jirani,,walijifungua pamojsa |
huyu ndo mke wa shemeji yangu,,,,,amepasuliwa hapa,,jamani operation za siku hizi fasta tu mtu mzimaaa? |
smiling for her baby,,,first born ana raha yake jamani,,kampata baby boy |
mama na mwana,,happy family,,watoto ni faraja sana jamani |
hospital kabla hajatoka hapa ni day two baada ya kupasuliwa |
Friday, April 27, 2012
Licha ya sajuki kuumwa ameamua kuingia mzigoni ili kuondokana na ugumu wa maisha,,habari hizi ni kwa hisani ya global publishers...
Licha ya kwamba afya ya msanii wa filamu za Kibongo, Juma Kilowoko ‘Sajuki’ bado hairidhishi kutokana na maradhi yanayomsumbua, juzikati staa huyo na mkewe Wastara Juma walinaswa ‘lokesheni’ wakiendelea kurekodi filamu yao. wanandoa hao Walinaswa wakiwa na baadhi ya wasanii maeneo ya Tegeta jijini Dar ambako walikuwa wakishuti filamu iliyopewa jina la Wakili huku Sajuki akiwa ndiye muongozaji. |
Akizungumza na Risasi Jumamosi, Sajuki alikiri kuwa afya yake bado siyo nzuri lakini ameona badala ya kukaa ndani ni vyema akajishughulisha ili kukabiliana na ugumu wa maisha. |
vitenge,,vitenge,,vitenge!!!!kwa wale wanaotaka vitenge quality ambavyo havichuji,,ni hapa,,piga simu namba hii:0754 980822 or 0655 980822...or 0786 980823 ujipatie vitenge,,,less matirial,,vibandiko,,cola,,mashati ya kiasili,,nguo za kina mama na yingine nyingi
Subscribe to:
Posts (Atom)