Jibu lako ni MC NTUKAMAZINA......
MC Ntukamazina kazini
Mfahamu MC Ntukamazina mmoja wa ma MC mashuhuri na makini wa hapa Bongo.
Anaifanya shughuli yako(customize event) kulingana na matakwa yako
MC Ntukamazina ni mashuhuri kwa Corporate Events\Weddings\Send Off parties na majumuiko mbalimbali yenye hadhi yake na unataka msema chochote mwenye staha, msomi na anayechangamsha shughuli
au women-communication blog tukuunganishe naye.
Karibuni.........