Share News, Ideas and Fashion.Call +225 719454855,Email:hatima.shayo@yahoo.com
Pages
▼
Friday, May 11, 2012
mother's day...
Nampenda sana mama yangu mzazi.Mrs Turuka bila kumsahau mama yangu mlezi Mrs Dora Shayo
Jamani wadau nawatakia siku njema ya mother's day,,itakayokuwa tarehe 13 mwezi huu..kama una ujumbe wowote kwa ajili ya mama yako tumahatima.shayo@yahoo.comnitaurusha ujumbe wako.kwa wale wenye picha pia nitazirusha.
mama i don't know what can i say to my mama bt what i want to say is mama nakupenda sana for what u have done to me,thank you and i repeat it again I L O V E Y O U MU CH MA... MRS HAWA
in this day wanawake wakumbuke walikotoka wasonge mbele kwani wamepiga hatua mbele ya maendeleo,wanawake wanaweza kama wakiwezeshwa sio wakati wa kushika tama na kujikunyata,happy mother day
mama i don't know what can i say to my mama bt what i want to say is mama nakupenda sana for what u have done to me,thank you and i repeat it again I L O V E Y O U MU CH MA... MRS HAWA
ReplyDeletein this day wanawake wakumbuke walikotoka wasonge mbele kwani wamepiga hatua mbele ya maendeleo,wanawake wanaweza kama wakiwezeshwa sio wakati wa kushika tama na kujikunyata,happy mother day
ReplyDelete