|  | 
| Branch la ukweli ni asubuhi ya wanawake duniani...pawe safi ili kazi  ifanyike vizuri..eti eeh | 
|  | 
| Haya jamani tunaanza na mwanamitindo  wangu leo siku ya wanawake ...umependeza mno.. | 
|  | 
| Akisubiri wateja duu kwa stail hii nipe tano mwezi huu utalala hayat | 
|  | 
| Leo ni mambo ya Africa tu Ofisini  umependeza sana | 
|  | 
| Kwa kweli  mwanamitindo wangu hii style inakutoa mno........au nakosea wadau | 
|  | 
| BA upo juuuu.. | 
|  | 
| Amekondajeee........wasiliana nae atakupa Diet Ya Ukweee... | 
|  | 
| Kweli siku ya wanawake duniani msikubali kuonewa huyu ni mkombozi wetu jamani,,,,,,,,,,,anajua nini maana ya haki | 
|  | 
| Mama soldier boys .... upo juu | 
|  | 
| Kitu cha belt | 
 | 
 | 
 | 
|  | 
| Tunakupenda mnoo ,,,,,moyo huo huo...umependezajee | 
|  | 
| Mtu na dada yake.......................wanawake tuwe na umoja tutafika............... | 
|  | 
| Tufurahi leo siku yetu | 
|  | 
| Smile za nguvu jamani tusherekee | 
|  | 
| Wanawake  wa FNB -Industrial Mpo juu kama mawingu  Big up | 
|  | 
| Siku yetu jamani tujiachieee... | 
|  | 
| From Left Mama soldier boys,Dada Cate,Brenda,Me and georgina | 
|  | 
| Hawa ndio wanawake  walio katika ngazi ya juu sana hapa FNB Industrial Branch,,Chezeyaaaa | 
|  | 
| this is wonderful............mmenogajeeee? | 
|   |  |  |  |  | 
| Na mimi nilikuwepo tukisherekea siku hii... |  |  | 
 | 
 MWISHO WA KUNUKUU NAWAPENDA MNO.....
 
No comments:
Post a Comment