![]() |
mtoto akiingia ukumbini...........du wa ukweliii.. |
![]() |
wakiwa na matroni wake wa ukweliii..... |
![]() |
akisalimia ndugu jamaa na marafiki mpooo... |
![]() |
katika pozi |
![]() |
hapa matroni sijui anaangalia nini jamani..mtoto macho..... |
![]() |
mama yake wa ukweliii...umependeza sanaa |
![]() |
dada Zenat nae alituwakilisha................ |
![]() |
mama ngunangwa akismile duu...yeye katoka juzijuzi tuu bado mpyaaaaaa.. |
![]() |
pozi la ukweliiii.................. |
![]() |
mshono mzuri mno nitakutafuta................. |
![]() |
mmeona mambo......du huyu fundi kiboko |
![]() |
mama rypan nakuaminia...............umependeza mno |
![]() |
shostito.............looking very pretty |
![]() |
kitu from arabian du wa ukweli......ndiye mpambaji wetu big up |
![]() |
me mhhh nahitaji diet............ |
![]() |
shost nae sooon................ |
![]() |
mama akitoa maneno kidogo kwa mwanae wahida |
![]() |
kamati kuu,,,,inakodishwa |
![]() |
mambo ya selina fernandes .... |
![]() |
Keki kutoka kwa monika .....jamani hii keki ni tamu mnoooo |
MWISHO WA KUNUKUUU
No comments:
Post a Comment