Wednesday, February 29, 2012

UWF KUMWINUA MWANAMKE MJASILIAMALI SIKU YA WANAWAKE DUNIANI



Pichani kushoto ni Bi Maryam Shamo ambaye ni Mratibu Miradi wa UWF, akizungumza kwenye kipindi cha Leo Tena cha Clouds FM kuhusu mchakato wa kumtafuta mwanamke mjasiliamali ambaye amejaribu kufuata nyayo za Mwanamakuka, ila kutokana na changamoto mbalimbali zinazomkabili amekwama kufikia malengo yake kupitia mradi wa Mwanamakuka chini ya chama kisicho cha kiserikali UWF (United of women friends) wameamua kumuwezesha mwanamke mjasiliamali ili kufikia malengo yake,kilele cha ukabidhiwaji wa tuzo hiyo ya Mwanamakuka itafanyika siku ya Wanawake Duniani,Machi 8 ,katika ukumbi wa Serena hotel zamani Movenpick,kulia kwake ni bi Jane Magembe ambaye ni Mratibu Msaidizi wa UWF.

Waratibu wa UWF wakiwa kwenye kipindi cha Leo tena  kuhusiana na tuzo ya Mwanamakuka,itakayotolewa kwenye hafla ya Siku ya Wanawake Duniani,itakayofanyika Machi 8 ndani ya Serena Hotel jijini Dar,kulia ni mwongozaji wa kipindi hicho Dina Marious


 



Kilimanjaro Tanzania Music Awards



Mpigie kura mwanamuziki unayevutiwa nae........

Bofya hapa http://www.kilitime.co.tz/awards/2009/nominees_2007.php

Monday, February 27, 2012

How can you create the success you want to have?

 Tips.............

1. Build the dream you want to have within yourself
2. Create a determination within yourself that you will succeed within yourself
3. Burn all bridges of doubt
4. Do not allow others to destroy your dream
5. Watch and learn from those who have succeeded, with balance
6. Be sure to free yourself from all jealousy, which is one of the most limiting factors in many lives

Jealous people never get anywhere. Of course they can create some temporary success, but prolonged success and happiness is created by focusing on what you want to achieve.

Good Luck!

people with fashion.................

Queen of Barbadois aka riri

Kim K.......Looking sexy

Mama Blue Eve



J AND B





Chris Brown










All the way from UK .............





Vimeletwa na British airways...thanks to you wifi........


Nanukiaje ......................kitu cha JLO


Brenda hair style...........


Ni french style.................

looking pretty

Me and Brenda at work


Its Monday tukiwa job tunavyofurahi..............stress zote tunaziacha mlangoni........



Catherine and Mama solgers boys..........


Evelyn,Catherine and Lukundo.........love you


They are my heart and soul.....love you soo much


hizo ni chama jamani anapenda mnoooooooooooo....

mnaona anavyokula yaani anafakamia mbaya..???

love u   so so much...,,,,,

Nareen,Asha and Nancy


Martin and mary wedding,11/01/2012




MRS MARTIN MBUYA

MR AND MRS MARTIN MBUYA
 



WAMEPENDEZAJEEE................









MWISHO WA KUNUKUU...........
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...